MANJI fogery inakuumbua sasa

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Wakuu

Manji amefungua mashitaka akimtuhumu Musley kumsukuma mwanaye na kumjeruhi mara tu baada ya mechi ya watani Yanga dhidi ya Simba ambao waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

Sasa kituko kipo kwenye PF3 ya manji wote tunajua kuwa mkasa ule ulitokea tar 8/3/2015 lakini ukiangalia kwa umakini PF3 utaona tarehe saba, nna hofu kuwa hii PF3 iliandikwa na polisi nyumbani na sidhani kama watu walifika polisi




HARAKA HARAKA HAINA BARAKA...mngepata mda wa kuyapanga kwanza.
 
Oops huyu anatafuta huruma ya bakora tuu....Si alihaidi 5 zitarudi sasa kila akitoa pua anachabangwa vidude! !
 
Naona wanachama wanaanza kuhoji kipengere cha kuongezewa muda wa madarakani!
 

Kumjadili Manji ( TEJA ) Ni Sawa Na Kuanza Kuijadili Leo Meli Ya MV. Bukoba Ambayo Imeshazama Na Kutokomea Udongoni. Mumsamehe!
 
Yanga mjitoe utani Simba ianze hata na Shinyanga Stend Utd mnayoishangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…