Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Wakuu
Manji amefungua mashitaka akimtuhumu Musley kumsukuma mwanaye na kumjeruhi mara tu baada ya mechi ya watani Yanga dhidi ya Simba ambao waliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Sasa kituko kipo kwenye PF3 ya manji wote tunajua kuwa mkasa ule ulitokea tar 8/3/2015 lakini ukiangalia kwa umakini PF3 utaona tarehe saba, nna hofu kuwa hii PF3 iliandikwa na polisi nyumbani na sidhani kama watu walifika polisi

HARAKA HARAKA HAINA BARAKA...mngepata mda wa kuyapanga kwanza.