Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Miss you Shemela darling,uwiiiiii nimekutafutaje?kabla ya Manji diwani wa Mbagala Kuu aliwaletea maendeleo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you Shemela darling,uwiiiiii nimekutafutaje?kabla ya Manji diwani wa Mbagala Kuu aliwaletea maendeleo gani?
Huyu jamaa kawaloga YangaUnahela wewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yanga hawawez kuongea kitu kwa jamaa miaka kumi basi mm nitaiomba miaka 20 alfu namipa 27% nembo sina shida nayo na jina pia silitak[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
dah. Long time sana shemej wangu wa ukweli Magufuli amebana balaa hata muda wa kuingia jf tunakosa teh teh cha moto tunakionaMiss you Shemela darling,uwiiiiii nimekutafutaje?
Shemela hata huko Songea mambo ni tight kama huku?dah. Long time sana shemej wangu wa ukweli Magufuli amebana balaa hata muda wa kuingia jf tunakosa teh teh cha moto tunakiona
Hamjatapeliwa bali wananchi wenyewe hawajielewi, hakuna mahusiano ya utajiri na uongozi, tatizo letu ni moja njaa zetu huwa zinatugharimu sana maana greda anaweza akawa amelikodi kwa shilingi kadhaa ambazo kama wakazi wa eneo husika kama kweli ubovu wa barabara ni kero wangeweza kuchanga hata buku tano kila kaya na diwani wao akapeleka ombi wakapewa grada na serikali wao wakajaza mafuta na kimlipa posho dereva. Na ndo maana tutatawaliwa na wenye fedha kutokana na njaa zetu maana kiongozi mwenye nia nzuri hata kama ana hela lazima atasema natoa milioni 10 kujazia milioni 6 waliochanga wananchi. Kwahiyo hata kwa hili la Yanga kuna uwezekano wa wanachama wa Yanga nao wakaangukia kwenye hilo though angalau wao wana vitu vya thamani kikubwa mkataba unatakiwa uwe mzuri kwa upande wao usiwe wa Chief MangunguHabari wana jamvi,
Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.
Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.
Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.
Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.