Manji katutapeli Mbagala, Yanga kaeni chonjo

Huyu jamaa kawaloga Yanga
 
dah. Long time sana shemej wangu wa ukweli Magufuli amebana balaa hata muda wa kuingia jf tunakosa teh teh cha moto tunakiona
Shemela hata huko Songea mambo ni tight kama huku?
Maana nilitaka nikucheki kama kuna uafadhali huko nije kupumzisha akili.[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Huyu Manji alisema ataukarabati Uwanja wa Kaunda au Kyle kubomoka ndio kaanza kuukarabati?
 
Hamjatapeliwa bali wananchi wenyewe hawajielewi, hakuna mahusiano ya utajiri na uongozi, tatizo letu ni moja njaa zetu huwa zinatugharimu sana maana greda anaweza akawa amelikodi kwa shilingi kadhaa ambazo kama wakazi wa eneo husika kama kweli ubovu wa barabara ni kero wangeweza kuchanga hata buku tano kila kaya na diwani wao akapeleka ombi wakapewa grada na serikali wao wakajaza mafuta na kimlipa posho dereva. Na ndo maana tutatawaliwa na wenye fedha kutokana na njaa zetu maana kiongozi mwenye nia nzuri hata kama ana hela lazima atasema natoa milioni 10 kujazia milioni 6 waliochanga wananchi. Kwahiyo hata kwa hili la Yanga kuna uwezekano wa wanachama wa Yanga nao wakaangukia kwenye hilo though angalau wao wana vitu vya thamani kikubwa mkataba unatakiwa uwe mzuri kwa upande wao usiwe wa Chief Mangungu
 
Hatimae mazingaombwe yafanya kweli! Vyura wabadilishwa kuwa mitumbwi..
Yakodiwa miaka 10 kufanya safar bwawani
Abiria kuvua ndala na yeboyebo, kuvaa viatu vya sufi manjin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…