Manji kuinunua Nakumatt

Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.

Taarifa Zaidi Kufuata
Sasa aache kiherehere siafanye kimya kimya..
Hajui kwamba Ndumila bado anamng'atia kidole? Kwasabbu hakuridhika kumwachia....na alifanya hivyo baada ya Wananchi kupiga kelele.
 
Wala hahitaji press conference, unless ndio masharti ya kununua Nakumatt...angejiendea zake kisailensa tu kwani ukimya ni jibu pia....
 
Hahhaha Manji bwana....... anavuta sharubu za bwana simba............. naye asivyokubali kushindwa sasa..... movie ndio kwanza inaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…