Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumatt Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
Taarifa Zaidi Kufuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa aache kiherehere siafanye kimya kimya..Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
Hawa ndio wawekezaji wanaohitajika awamu ya tano hawakwepi na hawaogopi kulipa kodiManji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
Sio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Unakoment huku unajamberjamber Kodi Kodi. Kodi my footSio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Tutazifunga?? Nmekuelewa mkuu....fungeni tu.Sio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Kwani Kuna kosa gani akinunua nakumat?Hahhaha Manji bwana....... anavuta sharubu za bwana simba............. naye asivyokubali kushindwa sasa..... movie ndio kwanza inaanza