Hiyo inaweza kuwa moja ya interpretations. Ingawa mimi naona kutokana na namna Magufuli anavyowasema matajiri na ‘ku-deal’ nao, maskini wengi wanavutiwa. Na ukiangalia kushangilia kwao ni kwamba heri wote tukose! Hii ndiyo mitazamo ya kimaskini. Hawajui trickle down effect wa kuwa na matajiri.