Ile ni biashara na biashara ni matangazo hapo tayari ameshaanza kupata wateja.
Biashara matangazo lakini angesubiri 'vumbi' litulie....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni biashara na biashara ni matangazo hapo tayari ameshaanza kupata wateja.
Ni upumbavu ulioje...masikini anashangilia tajiri kufilisiwa bila sababuHiyo inaweza kuwa moja ya interpretations. Ingawa mimi naona kutokana na namna Magufuli anavyowasema matajiri na ‘ku-deal’ nao, maskini wengi wanavutiwa. Na ukiangalia kushangilia kwao ni kwamba heri wote tukose! Hii ndiyo mitazamo ya kimaskini. Hawajui trickle down effect wa kuwa na matajiri.