Manji kuinunua Nakumatt

Manji kuinunua Nakumatt

Namuelewa kabisa Manji kwenye hili. Lazima aonyeshe partners wake bado yupo kwenye game.

Anataka kurudisha reputation yake...
Mimi sioni shida kujitangaza,sema watanzania wengi roho zao za kichawi chawi na hawachelewi kumzushia kitu
 
Ha ha Manji kiboko cha Magufuli pamoja na kumuweka ndani ili amvuruge kisaikolijia,kumvunjia hesima anamzaba za uso the guy he has money kumuweka Manji ndani wahindi wamekataa kununua mbaazi wakulima wetu tabu wamezipata wanalia na bei Magu anamfurahisha bashite in the expence of our Wakulima kweli
Mbona India imeipa Tanzania trillion moja kusambaza maji mikoani au hiyo India yako ni ipi?
 
Manji anatakiwa sasa aache jeuri, dharau na kujiona. Anyway, 'ngada' ukishatumia haziwezi kukuacha salama kichwani.
 
kwani uliambiwa kazi ya mahakama ni kufunga tu?
hawafungi hasa kwa kesi za kubambika kama za bashite na baba yake unaona aibu mbona unaumia sana bashite rudisha range rover lake umejimilikisha na kuweka namba zako za ukuu mzee vipi wewe lakini leo mbona hukalii kiti
 
Katika Mambo kama hayo pesa ikiwepo hakuna cha kusubiri
 
Mbona India imeipa Tanzania trillion moja kusambaza maji mikoani au hiyo India yako ni ipi?
wakulima mbaazi zao wamekataa kununuwa wahindi na hizo trillioni moja hazipo mkuu tunaangilia kwa nchi zinazonufaika ni misaada ya India Tanzania haionekani mzee halafu si mulisema hii ni donor country hata wahindi nao munataka wawape vya bure
 
HONGERA SANA MANJI. WAMEMPGA CHURA TEKE. DENI LA BN 20 LINA TOFAUT GAN NA TRILION 425 ZA ACACIA? TRA FANYEN KAZ KWA WELED TUOKOE UCHUMI, KUMKOMOA MZALISHAJI NI SAWA KUUKOMOA UCHUMI WA NCH. BIASHARA ZISPOFANYKA KODI MTAKUSANYA KWA CHANZO KIPI?
 
Back
Top Bottom