Tetesi: Manji kuwa bilionea

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
685
Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.

Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.

Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.

Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.

Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.

Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.

Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema

Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya tiss

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Mpaka huyu Jamaa atakapotoka madarakani nchi hii itakuwa makini wa kutupwa
 

Kwani si bado ni Diwani??
Vipi wapiga kura hawamhitaji?
 
Kwani si bado ni Diwani??
Vipi wapiga kura hawamhitaji?
Katika madiwani wa ajabu kuwai kutokea n uyu, yaani huwez kuamini na jina lote alilonalo ameshindwa ata kutengeneza barabara ambayo at km mbl haizid badala yake wananchi wa mbagala kuu wanapandaga magari ya ajabu ya tetenasi, nachoweza kusema huyu jamaa kuna kitu alkua anatafuta kama s umeya ili aje akamate viwanja na mali za jiji sjui maana s kwa uungozi huu,..
 


Wanamuona kama mjinga sasa ila akiwageuzia kibao ndio watajuta
 
hebu muachage ujinga...manji ameshitakiwa kama manji..sio biashara yake
Halafu Jurisdiction ya kesi ni ndani ya nchi na sio nje
sometimes msiwe wajinga kiasi hiki
 
Nyinyi watu wabaya sana ! tokea jana mra MAnji kapanch mara kuwa billionaire ili iwe nini? MNATAKA MAGUFULI ASIMTOE? Mwenye ez Mungu amswameh MAnji pale alipokosea na naamini ALLAh anampenda sana kumpa mtihani huu ili kama ana akili ATUBU toba iliyo ya ukweli kwa ufedhuli wote aloufanya ! na Namuombea radhi na msamaha kwa Rais maswameh na amilipishe yale yote anayodaiwa! na wengine wote walofungwa kwa makosa ya kudaiwa na serikali walipe madeni yao watolewe! JELA KUBAYA JAMANI!
 
Unaweza kuwa mmoja wa wale wasioitakia nchi neema. Mwingine kuueleza umma kuwa tunadaiwa tayari kaambiwa ndie chanzo cha njiwa kushikiriwa canada na akadakwa, subiri zamu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…