mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app