Tetesi: Manji kuwa bilionea

Hao ni kufungwa tu,huoni tumeleta brigadier general hapo PCCB ahusike kwenye investigation and prosecution

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Nyie hamjui kuwa mnaharibia manji,kwa sifa mnazompa jamaa anaweza kuamuru manji afungwe maisha,
sasa sijui mtakuwa mmemusaidia nini?.

Badala ya kumnasihi bashite amsamehe tu,yale mambo ya presscon ilikuwa ni mbwembwe tu,hakuwa na maana mbaya kumvunjia heshima,na kuwa yule chinga hakutumwa kuifuta vumbi ile BMW mbele ya station polisi,bali ni utashi wake tu kuamua kufuta vumbi gari kwa bendele ya ccm.
 
Huko kimataifa hawapimi mkojo?
Eti lazima mkojo uwe safi ndiyo ulipwe. Teh teh teh
 
Kwmba ni kazi yake kutengeneza barabara na hayo magari mabovu ulitaka yy afanye biashara kwa kuleta magari mapya iyo ndo kazi yake kutoa magari chakavu barabarani utajiri na jina ni vyake so usiviusishe na cheo alichonacho labda umwombe ajitolee kufanya ivo maana ni kazi ya serikali kuu na local government au civics na gs huku soma kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwombea msamaha kwa rais kumbe kamkosea rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nifafanulie mwanasheria msomi.. baada ya kushinda kesi za humu atafunguaje mashataka ya kuishtaki serikali katika mahakama za kimataifa? Kwa sheria ipi?

sent live and direct from KOROMIJE
 
Wewe unahatarisha maisha ya Bwn Yusufu Manji.
Jamaa bado yuko ndani!!
 
Sasa tahadhari ipi ichukuliwe?mimi naona achukue tu majengo ya bunge mahakama na ikulu afanye mahoteli na migahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…