gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Nchi hii tajiri sana tutamlipa tu Manji maana hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo usiyoyajua uliza.Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama sio billions, basi kuombwa radhi kupitia mamlaka na vyombo husika!Kichwa hapo juu kinahusika.

Kichwa hapo juu kinahusika.

Bils kujali mengine uliyoandika hapa, Bwana Manji tayari ni BillioneaKichwa hapo juu kinahusika.

akili zetu wakati mwingine ni za ajabu sana. sijui huwa mnawaza nini. akili kama zako ndizo zilizochagua viongozi 2015 mkatufanya tunapata shida hata hatujui tunakoelekea hadi leo. mtu unaamka tu haujui chochote, unapost tu chochote unachofikiria. itabidi kuwe na thread ya "wajinga'' humu jf ili mpeane thread za kusadikika kama hizi tu muda wote, na sisi wengine tubaki huku tukijadili vitu vyenye akili.Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
ukisalimika hapo wapigwa kura watajijua wenyeweKwani si bado ni Diwani??
Vipi wapiga kura hawamhitaji?
Laiti ungekua unajua mambo ya nchi yetu kamwe narudia kamwe usingethubutu kumuita mtoa utabiri ati kaleta upupu.Duh, wee jamaa nachoweza sema ni kiboko! Uko dense sana. Umetumia siku kadhaa kuja na huu upupu??!!!
Wewe utafaidika niniKichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia ya Yusufu Manji ambayo Manji anasimamia biashara Zake alizorithi toka Kwa marehemu baba yake,wapo Canada na kampuni ya Quality group ni ya kimataifa hivyo msiichukulie poaHebu nifafanulie mwanasheria msomi.. baada ya kushinda kesi za humu atafunguaje mashataka ya kuishtaki serikali katika mahakama za kimataifa? Kwa sheria ipi?
sent live and direct from KOROMIJE
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Hakuna kitu ukiona mtu anaingia madarakani na kuanza kupiga dili za kununua ndege bila utaratibu,mwisho nchi itakuwa rushwa tuu.sasa hivi TRA wakikushika hujatoa rist rushwa ni m1.5 hutaki ukalipe m4Mpaka huyu Jamaa atakapotoka madarakani nchi hii itakuwa makini wa kutupwa