Manji Mwenyekiti Mpya Yanga!


Kandambili wafikie hivi? Thubutuuuuuuuuuuu hawana uwezo huo hata aje Rais wa Nchi. Kwa yale matapishi ya Jangwani au kuna kingine?
 
Pesa haiwezi nunua ushindiView attachment 58876

Mkuu Albedo unasemaje? Yaani huoni kabisaaa? Manji hata kuongea hajui na fitina za mpira pia hajui lakini katwaa Uenyekiti unadhani ni kwa sera au hela? Hana sera bali hela.

Duh jamaa zangu wa yanga sass mnaelekea kusiko. Nilikuwa nikiamini kwamba Yanga ni timu ya wauza mboga, wakwezi, wauza kahawa, nk. Sunderland ndio ilikuwa timu ya warangirangi lakini leo Yanga inatawaliwa na mrangirangi! Watanzania tutalalama sana lakini tujue tuko kwenye kinywa kipana cha wenye pesa. Manji hakupiga kampeni lakini kuna wanayanga walikuwa radhi kufa kwa ajili yake. Pesa imekuwa kila kitu kuanzia michezo hadi siasa.
 
Last edited by a moderator:
KIM KARDASH wewe cheza na Yanga; Unadhani manji anaweza kuifanya yanga kama Tip Mazembe? Labda aichukue iwe yake kabisa isiwe ya wanachama. Labda manake siku zote manji amekuwa akitamani kuinunua yanga. Mazembe ni timu ya Katumbi tofauti na yanga ya akina Kitundu
 
Last edited by a moderator:
Bora Manji ashinde maana sisi waswahili tumeshindwa kuwa na nidhamu ya uongozi. Kila mtu anafikilia kupiga panga mshiko, tutafika kweli? Naamini Manji ataonyesha njia jinsi gani timu iendeshwe.
 
Bora Manji ashinde maana sisi waswahili tumeshindwa kuwa na nidhamu ya uongozi. Kila mtu anafikilia kupiga panga mshiko, tutafika kweli? Naamini Manji ataonyesha njia jinsi gani timu iendeshwe.

Afadhali wachukue wenye hela siyo? Usije ukakimbia tu kwenye jukwaa la siasa!
 

mkuu hivi wewe kweli unasema kw kuwa na uhakika ama ni kwasababu ya wewe si mpenzi na wanachama wa yanga? sisi ndio wapiga kura wa Yanga na imefika mahali inabidi soka la bongo tulibadilishe, yatupasa kila mwanachama anayeona kwamba anaweza kuongoza yanga kimafanikioa basi aje agombee na akitushawishi tumpe kuura kwa ustaw wa timu yetu.

binafsi ni miongoni mwa waliokuwa wanashabikia Manji na asi kwamba alihonga ama ananijua no ni kwasababu sera zake kwamba ataifanyia nini Yanga ndiyo iliyoniconvice. na wala si kwamba hajui mchezo la hasha mara ngapai amekuwa akishauri Yanga ila tu ushauri wake unakawa unachukuliwa kama kitu cha kawaida na baadhi ya viongaozi wetu hadi kufikia hatua ya yanga kuwa timu mbovu? kama ilikuwa kila siku tunagonga kwake kuomba hela na anatupa ila akitushauri atu wanaona hela itatumika sana wanaupiga chini basi bora aende yeye ili aone hela yake anayoitoa inatumikaje. to me nilivutiwa sana na maendeleo ya Azam FC hadi kufikia kuwa timu bora kiasi hiki basi na simba na yanga zapaswa kujitahd.
 
Mambo ya Ngoswe..................................................?
 

Kama Kweli Manji ameukwaa uenyekiti basi tutarajie haya yafuatayo;
1. Yanga haitafungwa tena goli 5:0 wala 2:0 za kagame cup hazitajirudia
2. Marefa wakae mkao wa kuvuna mshiko kutoka yanga
3. Timu ya yanga ikienda kucheza nje ya nchi, wajiandae kuweka madawa ya kulevya kwa wingi kwenye mipira.
4. Azam fc isahau kupata nafasi mbili za juu kwenye msimamo wa ligi.
 
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more
 
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more
kama wewe sio Bakilki basi Mzee Akilimali atakuwa amekuomba umwandikie hapa.

Inasikitisha katika ya 21 kuona watu wengine wanakaa (they just sit back) na kusubiri kuwa kuna watu ambao Allah amewajalia kuwaendesha wengine!

 
eurekaaaaaa,nimekubamba leo gfsonwin,kumbe na wewe 'gongowazi'!
 
Last edited by a moderator:


Rais wa Yanga Yusuf Manji akiwashukuru wanayanga kwa kumchagua kwa kishindo

Tuone sasa kama wanaYanga tutakuwa 'Bize' kuishangilia timu yetu ikicheza kandanda safi na kushinda vikombe....au tutabaki kama sasa kushangilia kifo cha mtaniwetu Simba aki-URA-eiwa!
 
kama ni siasa mnawaza jinsi ya kuchukua nchi lakini hamuwazi jinsi mtakavyoiongoza. Mnadhani tz ya Leo ni ya 1980 ! pole sana
 
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more

Inaonekana haijui soka kabisa wewe, Ebu niambie wamiliki wa Mnchester city, Fulham nk ni watu wa wapi? Nyie ndio mnaorudisha maendeleo nyuma kisa ubaguzi wa rangi, kumbuka pia Yanga na Simba hazina ubaguzi ndio maana wakina Dewj,Gulamali, Asanoh wanahistoria nzuri ktk hizi Club.
 

Sasa wewe unayeijuwa soka niambie kwa nini iliitwa YOUNG AFRICANS na sio YOUNG TANZANIANS?
 
Haya sasa tuone wakati wa Mani na ukilinganisha na wa Mengi nani zaidi.

Hili bado ni sakata lile la kuchapwa bao 5 mtungi, halijapatiwa ufumbuzi?
 
Jana nilivyoona hii thread nilidhani ni utani tu!kwani hivi ni kweli?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…