Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 303
Hongera manji,tunataka uige mfano wa huyu tajiri wa congo uifanye yanga iwe kama hivi....ili matajiri wengine wenye mapenzi na timu nyingine nao waige mfano wako na hatimae kuleta maendeleo kwenye club zetu
![]()
Sehemu ya Kupumzikia wakuu
View kutoka sehemu ya juu ya VIP
Moise Katumbi akiangalia uwanja viti vya mzunguko
Makabati ya kuwekewa nguo vyumba vya kubadilishia![]()
![]()
Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa TP Mazembe![]()
Kandambili wafikie hivi? Thubutuuuuuuuuuuu hawana uwezo huo hata aje Rais wa Nchi. Kwa yale matapishi ya Jangwani au kuna kingine?
