Manji na Mo Dewji mliwakataza, Sportpesa mmewaachia!

Nadhani Mo na manji walitaka kuzimiliki na sio kudhamini
Sasa uongozi wa simba umeshaanza kujiuzuru Hans pope tayari na wengine wapo mbioni
 
Yaani hiyo haipo mbali kwa simba maana tayari viongozi tayari wameahaanza kubwaga manyanga jioni hii na mo tayari keshajiondoa,
 
Tofautisha KUDHAMINI na KUMILIKI.

Hawa wahindi walitaka UMILIKI.
 
 
hivi nani kama manji.mwenyekiti ajawai kuchukua mshahara wake toka aanze kua m/kiti yangu.ila yeye anawalipa misharaha wachezaji makocha nk.nina imani manji anatumia pesa nyingi kuliko hyo itayo tolewa na spotpesa.ila simba na yanga wakiingia ktk hii issu watapotea
 
Mkuu Yanga kwa upande wao naona wamestukia hii janja ya hawa sports pesa ya 888milion na wao nadhani wanahitaji zaidi ya 1b ndio maana bado hatujaona mbwembwe za kutia saini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…