Manji na Mo Dewji mliwakataza, Sportpesa mmewaachia!

Manji na Mo Dewji mliwakataza, Sportpesa mmewaachia!

Viongozi wa Simba wamekosea kutomshirikisha MO ambae ndio mfadhili wao mkuu kwenye shida na raha.Endapo wangemshirikisha mo labda ata na dau lingepanda.Ukiangalia million 888 kwa mwaka kwa timu kama Simba nindogo sio kubwa kivile.Ebu oneni stand utd tu ni timu ndogo lakini Acacia walikua wanawapa kama billion moja na point kwa mwaka tu.Sema ubinafsi wa viongozi ndio ulioitafuna timu mpaka migogoro hatimae mdhamini kuvunja mkataba,na simba kinaenda kutokea hicho hicho.
Yaani hiyo haipo mbali kwa simba maana tayari viongozi tayari wameahaanza kubwaga manyanga jioni hii na mo tayari keshajiondoa,
 
Viongozi wa Simba wamekosea kutomshirikisha MO ambae ndio mfadhili wao mkuu kwenye shida na raha.Endapo wangemshirikisha mo labda ata na dau lingepanda.Ukiangalia million 888 kwa mwaka kwa timu kama Simba nindogo sio kubwa kivile.Ebu oneni stand utd tu ni timu ndogo lakini Acacia walikua wanawapa kama billion moja na point kwa mwaka tu.Sema ubinafsi wa viongozi ndio ulioitafuna timu mpaka migogoro hatimae mdhamini kuvunja mkataba,na simba kinaenda kutokea hicho hicho.[/QUOT
Si zaidi ya million 75 kwa mwezi
Mishahara peke yake kwa mwezi inaweza kuzidi kiasi hicho
Bado mambo mengine mengi
Humo humo wamo wapiga dili wazoefu
 
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
hivi nani kama manji.mwenyekiti ajawai kuchukua mshahara wake toka aanze kua m/kiti yangu.ila yeye anawalipa misharaha wachezaji makocha nk.nina imani manji anatumia pesa nyingi kuliko hyo itayo tolewa na spotpesa.ila simba na yanga wakiingia ktk hii issu watapotea
 
hivi nani kama manji.mwenyekiti ajawai kuchukua mshahara wake toka aanze kua m/kiti yangu.ila yeye anawalipa misharaha wachezaji makocha nk.nina imani manji anatumia pesa nyingi kuliko hyo itayo tolewa na spotpesa.ila simba na yanga wakiingia ktk hii issu watapotea
Mkuu Yanga kwa upande wao naona wamestukia hii janja ya hawa sports pesa ya 888milion na wao nadhani wanahitaji zaidi ya 1b ndio maana bado hatujaona mbwembwe za kutia saini
 
Back
Top Bottom