Manji ndiye aliunda genge la kumlilia lilia arudi Yanga

Labda uwe mwanachama wa mikia.
Kwa taarifa yenu ninyi mbumbumbu fc.tunamchukulia fomu na tunampigia kura.
Mkiumia jinyongeni
Ww ndo hujielewi,leo ndo mwisho wakuchukua form kamchukulie apambane na Tarimba, kelele nyingi inawezekana hata kadi huna
 
Mpeni timu akilimali.... Pesa zitawatokea puani.... Uzalendo kwanza.
 
Tunachotaka ni kufuata sheria ishu sio Manji. Bado unababaika huna hoja
 
Tunachotaka ni kufuata sheria ishu sio Manji. Bado unababaika huna hoja
Endelea kumpigia kelele huyo Manji uone kama atarudi,ndo ushabiki maandazi wenyewe huu unafuata upepo tu na kukaa pale jangwani Manji alikuwa anawatoa vimia 2 2 mnaona mtavikosa
 
Hivi huyu Manji hakumbuki maswaibu aliyoyapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…