Hata asingeongea hayo, kifupi ni kwamba Manji ndani ya Yanga anakubalika kuliko unavyo fikiri.Sasa hilo la kusema uwanja ndani ya siku 90 ni kama kupiga kampeni ili cku ya mkutano watu wafikirie kumpa timu,Leo alitakiwa ahamasishe tu wanachama kuhudhuria
mzee kagawanya hivi. manji anatoa bilion 60kwa miaka 10.ni sawa na milioni 600kwa mwaka.ambayo yanga inaweza kuipata hata kwenye viinglio vya mechi nne hata za friendmatch. sasa anataka akodshiwe tmu na logo(product). Pili suala la ujenzi wa uwanja kule kgambon halpo kwenye mkataba,pia anahoji kwanini mkodshwaj awe manji pekee ,kwa nn hataki watu washndanishwe? .Pia atafutwe auditor ahakiki den hlo na kwan halkuidhnshwa na vkao halali kikatba yaan hlo den analjua manji pekee?Kwani msimamo wa Mzee Akilimali katika hili sakata ukoje?
Vilabu vya Simba na Yanga vimeshindwa kujiendesha kutokana na ujanjaujanja wa watu wachache ambao wanapokezana tu kuvifilisi. Mfano mdogo no Simba, karibia miaka yote hii minne wameishi kwenye ukata mkubwa kiasi kwamba wakshindwa hata kusajili wachezaji wa maana wakabaki kusaji kwa kuungaunga tu. Msimu huu wamepata ahueni baadaya Mo. kuisaidia. Yanga fanyeni jaribio dogo tu, mtimueni Manji halafu muone kama mtaweza kupata hata nauli ya kusafirishia timu kwenda Kagera. Kulipa tu mshahara wa wachezaji mtihani. Mfukuzeni Manji kama hamkwenda kumpigia magoti awasaidie.
So mlidanganywa na rangi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbagala kuu hatuna hamu nae....maana hata wana ukawa walimpa kura kisa tajiri hana njaa za kupiga vijisenti. Maskini akichaguliwa ni hadi ajitajirishe ndo awasaidie wananchi. Leo hii wanajuta
Hivi sasa anadai bilioni 11.6 je akijenga uwanja hilo deni bila shaka litazidi kuwa kubwa.. mwisho ataichukua timu iwe yake!
Mkuu hili neno umeongea. Ukiangalia wanaopinga wote maskini, wao ndio walikua wanafaidika kupitia Yanga.
Walau angepinga mtu kama David Mosha, tungeelewa.
Maana hata akiambiwa haya timu hiyo ihudumie anaweza kujitutumua, anapinga mzee Akilimali, ambae hata kununua Ndizi za kuwiva awape wachezali wale baada ya mazoezi ili kurudisha Sukari waliyopoteza uwezo huo hana.
Nembo inayopiganiwa wanayo wao kwa Miaka 70 sasa, hakuna lolote walilofanya, sana sana walikuwa wanapitisha Bakuri wachangiwe Maharage kupeleka kambini.
Kapatikana Mbunifu wa kuifanyia kazi nembo hawataki.
Yule mzee Akilimali ilitakiwa apigwe viboko hadharani halafu aambiwe asionekane klabuni katika maisha yake yote yaliyobaki.
Hahahaaa umemaliza kila kitu mkuu.Inamaana miaka 6 wanachama bado walikuwa hawajampa ridhaa ya kuanza ujenzi... dah kweli siasa iko katika kila sehemu.
Manji anatumia ujinga wetu watanzania kujipigia dili tu. tunapenda sana maamuzi ya mhemko bila kuhoji kwa kina hapo ndio anapopatia. mkutano mkuu wataitika tu kwa sauti ndioooo kanjibai akodishwe tim. baada ya hapo ndio tutaanza kuulizana mtaani maswali hivi anakodi kwa sh ngapi ,mpaka lini, vipi kuhusu deni.mzee kagawanya hivi. manji anatoa bilion 60kwa miaka 10.ni sawa na milioni 600kwa mwaka.ambayo yanga inaweza kuipata hata kwenye viinglio vya mechi nne hata za friendmatch. sasa anataka akodshiwe tmu na logo(product). Pili suala la ujenzi wa uwanja kule kgambon halpo kwenye mkataba,pia anahoji kwanini mkodshwaj awe manji pekee ,kwa nn hataki watu washndanishwe? .Pia atafutwe auditor ahakiki den hlo na kwan halkuidhnshwa na vkao halali kikatba yaan hlo den analjua manji pekee?