Manji: Ujenzi uwanja wa mazoezi kuanza ndani ya siku 90 baada ya ridhaa ya wanachama

Manji: Ujenzi uwanja wa mazoezi kuanza ndani ya siku 90 baada ya ridhaa ya wanachama

Sasa hilo la kusema uwanja ndani ya siku 90 ni kama kupiga kampeni ili cku ya mkutano watu wafikirie kumpa timu,Leo alitakiwa ahamasishe tu wanachama kuhudhuria
Hata asingeongea hayo, kifupi ni kwamba Manji ndani ya Yanga anakubalika kuliko unavyo fikiri.
 
Vilabu vya Simba na Yanga vimeshindwa kujiendesha kutokana na ujanjaujanja wa watu wachache ambao wanapokezana tu kuvifilisi. Mfano mdogo no Simba, karibia miaka yote hii minne wameishi kwenye ukata mkubwa kiasi kwamba wakshindwa hata kusajili wachezaji wa maana wakabaki kusaji kwa kuungaunga tu. Msimu huu wamepata ahueni baadaya Mo. kuisaidia. Yanga fanyeni jaribio dogo tu, mtimueni Manji halafu muone kama mtaweza kupata hata nauli ya kusafirishia timu kwenda Kagera. Kulipa tu mshahara wa wachezaji mtihani. Mfukuzeni Manji kama hamkwenda kumpigia magoti awasaidie.
 
Kwani msimamo wa Mzee Akilimali katika hili sakata ukoje?
mzee kagawanya hivi. manji anatoa bilion 60kwa miaka 10.ni sawa na milioni 600kwa mwaka.ambayo yanga inaweza kuipata hata kwenye viinglio vya mechi nne hata za friendmatch. sasa anataka akodshiwe tmu na logo(product). Pili suala la ujenzi wa uwanja kule kgambon halpo kwenye mkataba,pia anahoji kwanini mkodshwaj awe manji pekee ,kwa nn hataki watu washndanishwe? .Pia atafutwe auditor ahakiki den hlo na kwan halkuidhnshwa na vkao halali kikatba yaan hlo den analjua manji pekee?
 
Manji yapeli tu, Yanga inakesheka na Bank yoyote ile Tanzania, hiyo habari ya kujenga uwanja hata Yanga wenyewe wanaweza, waliwezaje kujenga hilo jengo walilonalo pamoja na kiwanja chake washindwe kujenga vkiwanja cha Mazoezi mpaka manji atoe pesa zake
Huo uwanja wa mazoezi wa Yanga unajengwa kwenye kiwanja chake au cha Yanga?, kama sio cha Yanga unajengwa kwa mkataba upi?

Au anataka kuongeza denimla Yanga?
 
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuf Manji amesema wanaYanga wakikubali kumkodishia Yanga atawajengea Uwanja ndani ya siku 90 tu.Kauli ya Yusuf Manji inazidi kutia Wasiwasi kwani amekuwa Mwenyekiti wa Yanga Kwa zaidi ya miaka 5 Hajalikarabati Jengo wala Uwanja wa Kaunda ambao umebomoka Na kujaa Maji Na Samaki.Nawasihi wapenzi Na Wanachama wa Yanga Wakati wa kumwepuka Manji ni huu.Yanga inadaiwa Na Manji mabilioni ya Shilingi.
 
Vilabu vya Simba na Yanga vimeshindwa kujiendesha kutokana na ujanjaujanja wa watu wachache ambao wanapokezana tu kuvifilisi. Mfano mdogo no Simba, karibia miaka yote hii minne wameishi kwenye ukata mkubwa kiasi kwamba wakshindwa hata kusajili wachezaji wa maana wakabaki kusaji kwa kuungaunga tu. Msimu huu wamepata ahueni baadaya Mo. kuisaidia. Yanga fanyeni jaribio dogo tu, mtimueni Manji halafu muone kama mtaweza kupata hata nauli ya kusafirishia timu kwenda Kagera. Kulipa tu mshahara wa wachezaji mtihani. Mfukuzeni Manji kama hamkwenda kumpigia magoti awasaidie.

Mkuu hili neno umeongea. Ukiangalia wanaopinga wote maskini, wao ndio walikua wanafaidika kupitia Yanga.
Walau angepinga mtu kama David Mosha, tungeelewa.
Maana hata akiambiwa haya timu hiyo ihudumie anaweza kujitutumua, anapinga mzee Akilimali, ambae hata kununua Ndizi za kuwiva awape wachezali wale baada ya mazoezi ili kurudisha Sukari waliyopoteza uwezo huo hana.
Nembo inayopiganiwa wanayo wao kwa Miaka 70 sasa, hakuna lolote walilofanya, sana sana walikuwa wanapitisha Bakuri wachangiwe Maharage kupeleka kambini.
Kapatikana Mbunifu wa kuifanyia kazi nembo hawataki.
Yule mzee Akilimali ilitakiwa apigwe viboko hadharani halafu aambiwe asionekane klabuni katika maisha yake yote yaliyobaki.
 
Mbagala kuu hatuna hamu nae....maana hata wana ukawa walimpa kura kisa tajiri hana njaa za kupiga vijisenti. Maskini akichaguliwa ni hadi ajitajirishe ndo awasaidie wananchi. Leo hii wanajuta
So mlidanganywa na rangi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kanjibhai mjanja huyo, uliona wapi timu ikakodishwa?? Wenzake wananunua hisa au wananunua kabisa klabu yote na baadae kuuza hisa kwa wanachama. Mzee Akilimali yuko sawa kwamba Yanga ni kubwa sio klabu ya kukodishwa kama masufuria ya shughulini atii.
 
Hivi sasa anadai bilioni 11.6 je akijenga uwanja hilo deni bila shaka litazidi kuwa kubwa.. mwisho ataichukua timu iwe yake!

Dah...kwani aichukue YANGA mara ngapi????? Ninavyofahamu mimi ni kuwa YANG tayari imechukuliwa....sasa kitu gani kitafanya irejeshwe???
 
Jambo moja wazi kabisa ambalo Manji hataki au hapendi kulizungumzia ni yeye kuachia madaraka ya uenyekiti ili kupisha uongozi mwingine ambao utaipitisha yanga kwenye huu utata na kulitatua kabisa hili suala.

Haiwezekani mwenyekiti yeye ndo awe tena mwekezaji.Hii haileti uhakika ni maslahi gani zaidi yatazingatiwa.Maslahi ya yanga au maslahi ya mwekezaji.Kwa haraka kabisa unaona maslahi ya yanga kwa hali inayoendelea yapo hatarini.

Sijui ni kwa nini kama wewe una nia njema kabisa ya kuipeleka yanga kwenye mafanikio ung'ang'anie kiti cha uenyekiti na huku ukitaka wewe mwenyewe kuikodi.Kwa nini usiachie kiti watu wengine ambao hawana maslahi na kampuni yako washughulikie hili kwa manufaa ya yanga?Kutotaka hili litokee inampa uhakika mtu mwenye mashaka na wewe kuwa nia yako ni kujinufsisha kupitia yanga.Pia mtu ambaye alikuwa hana mashaka na wewe akiwaza hili anaanza kuwa na mashaka na wewe.Jitoe uenyekiti endelea na mchakato ukiwa mbali na kamati ya utendaji..ni rahisi tu.
 
Ku kodishwa club ya Yanga hakutoi nafasi ya kla I kuwa endelevu pale mkataba utakapoisha Bali utakuwa umemsaidia mwekezaji kwa kuongeza uwezo wake wa kipesa.
Hivyo kuna riski kubwa saana kwa Yanga kuyumba baada ya mkataba kuisha au kuwa mtumwa kwa mkodishaji Maana yanga itakuwa haina Mali au fedha za kuweza kujiendesha
 
Uwanja unajengwa kigambani manji anadai kiwanja cha kigambano ni Mali ya yanga yetu na si Mali ya yanga,hvyo mmliki wa huo uwanja ni yanga yetu.uuuwi
 
Mkuu hili neno umeongea. Ukiangalia wanaopinga wote maskini, wao ndio walikua wanafaidika kupitia Yanga.
Walau angepinga mtu kama David Mosha, tungeelewa.
Maana hata akiambiwa haya timu hiyo ihudumie anaweza kujitutumua, anapinga mzee Akilimali, ambae hata kununua Ndizi za kuwiva awape wachezali wale baada ya mazoezi ili kurudisha Sukari waliyopoteza uwezo huo hana.
Nembo inayopiganiwa wanayo wao kwa Miaka 70 sasa, hakuna lolote walilofanya, sana sana walikuwa wanapitisha Bakuri wachangiwe Maharage kupeleka kambini.
Kapatikana Mbunifu wa kuifanyia kazi nembo hawataki.
Yule mzee Akilimali ilitakiwa apigwe viboko hadharani halafu aambiwe asionekane klabuni katika maisha yake yote yaliyobaki.

Kwa taarifa yako tu, hao wanaoongea nyuma yao wako hao wakina Mosha, Mengi, Ridhiwani nk
 
mzee kagawanya hivi. manji anatoa bilion 60kwa miaka 10.ni sawa na milioni 600kwa mwaka.ambayo yanga inaweza kuipata hata kwenye viinglio vya mechi nne hata za friendmatch. sasa anataka akodshiwe tmu na logo(product). Pili suala la ujenzi wa uwanja kule kgambon halpo kwenye mkataba,pia anahoji kwanini mkodshwaj awe manji pekee ,kwa nn hataki watu washndanishwe? .Pia atafutwe auditor ahakiki den hlo na kwan halkuidhnshwa na vkao halali kikatba yaan hlo den analjua manji pekee?
Manji anatumia ujinga wetu watanzania kujipigia dili tu. tunapenda sana maamuzi ya mhemko bila kuhoji kwa kina hapo ndio anapopatia. mkutano mkuu wataitika tu kwa sauti ndioooo kanjibai akodishwe tim. baada ya hapo ndio tutaanza kuulizana mtaani maswali hivi anakodi kwa sh ngapi ,mpaka lini, vipi kuhusu deni.
 
Back
Top Bottom