Akilimali sio msomi ila mjanja,yupo town kitambo. Yeye ndo almpinga Nchunga na kumshawishi manji. Sasa mzee ameona udikteta wa manji sasa anatumia mbinu zlezle kumnyooshaManji anatumia ujinga wetu watanzania kujipigia dili tu. tunapenda sana maamuzi ya mhemko bila kuhoji kwa kina hapo ndio anapopatia. mkutano mkuu wataitika tu kwa sauti ndioooo kanjibai akodishwe tim. baada ya hapo ndio tutaanza kuulizana mtaani maswali hivi anakodi kwa sh ngapi ,mpaka lini, vipi kuhusu deni.
Huwezi jua mkuu Gamaha lakini umenigusa sana katika hili.Manji yapeli tu, Yanga inakesheka na Bank yoyote ile Tanzania, hiyo habari ya kujenga uwanja hata Yanga wenyewe wanaweza, waliwezaje kujenga hilo jengo walilonalo pamoja na kiwanja chake washindwe kujenga vkiwanja cha Mazoezi mpaka manji atoe pesa zake
Huo uwanja wa mazoezi wa Yanga unajengwa kwenye kiwanja chake au cha Yanga?, kama sio cha Yanga unajengwa kwa mkataba upi?
Au anataka kuongeza denimla Yanga?