Akilimali sio msomi ila mjanja,yupo town kitambo. Yeye ndo almpinga Nchunga na kumshawishi manji. Sasa mzee ameona udikteta wa manji sasa anatumia mbinu zlezle kumnyooshaManji anatumia ujinga wetu watanzania kujipigia dili tu. tunapenda sana maamuzi ya mhemko bila kuhoji kwa kina hapo ndio anapopatia. mkutano mkuu wataitika tu kwa sauti ndioooo kanjibai akodishwe tim. baada ya hapo ndio tutaanza kuulizana mtaani maswali hivi anakodi kwa sh ngapi ,mpaka lini, vipi kuhusu deni.