Am not sure Sir..Crdb! Waliuza hisa nyingine this year to raise their operating capital....haya bwana ponda mali kufa kwaja
hiyo faida wanayopata wawakumbuke wateja,watupe mikopo ya riba nafuu.
lazima wale faida;Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na gharama za kukaa dar ni juu ya benki. Zaidi ya yote, kuanzia mwezi januari mwakani kila mfanyakazi atakuwa akipata 'bonus' ya sh 120,000/= kila mwezi.
Haka kanchi ni katamu sana ukikapatia!
Hapo ndo utatia akili mwenyewe mkuu!
Hii nchi inahitaji lawsuit mindset. Mtu awapige benki na Kimei lawsuit kwa discrimination na kuingiza dini kazini.
Mtu akisema Kimei anapendelea wafanyakazi wa dini yake atakataa?
Kama huyu ndiye CEO wa benki mimi siwezi kuwekeza katika benki yake.
hiyo faida wanayopata wawakumbuke wateja,watupe mikopo ya riba nafuu.
hajalazimishwa mtu kuhudhuria misa au ulitaka achangie mahakama ya kadhi ndo uone hana udini? Mbowe mdini juzi kachangisha pesa za mskiti au vipi? Tatizo lako unapima kila kitu kwa kioo cha dini yako, utajilipua bure
Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?Sawa hajalazimishwa mtu kuhudhuria.
Lakini kwa nini anatumia fedha za benki, benki isiyo na dini, benki yenye wateja wa dini zote na wengine wasio na dini, benki ya umma katika nchi isiyofuata dini yoyote, kufanikisha misa ya dini moja?
Wafanyakazi wa dini nyingine wakisema wamebaguliwa kwa sababu hawajafanya yao atakubali kwamba kawabagua?
Tunaoamini kwamba kutumia fedha za shirika la umma katika shughuli za kidini tukisema amekosea atakataa?
Sawa hajalazimishwa mtu kuhudhuria.
Lakini kwa nini anatumia fedha za benki, benki isiyo na dini, benki yenye wateja wa dini zote na wengine wasio na dini, benki ya umma katika nchi isiyofuata dini yoyote, kufanikisha misa ya dini moja?
Wafanyakazi wa dini nyingine wakisema wamebaguliwa kwa sababu hawajafanya yao atakubali kwamba kawabagua?
Tunaoamini kwamba kutumia fedha za shirika la umma katika shughuli za kidini tukisema amekosea atakataa?
hajalazimishwa mtu kuhudhuria misa au ulitaka achangie mahakama ya kadhi ndo uone hana udini? Mbowe mdini juzi kachangisha pesa za mskiti au vipi? Tatizo lako unapima kila kitu kwa kioo cha dini yako, utajilipua bure
Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat:
CRDB ni benki ya umma kabisa, Kiranga yuko sahihi.!Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat: