Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

Mi nilivyosoma ni kuwa mleta mada amesema KIMEI kaaaanda misa ya shukrani kwa maneno mengine misa ni ibada kwa kiswahili rahisi. sasa hapo hatujui ilifanyika wapi na viongozi wa dini ipi walifika katika kuongoza hiyo ibada ya shukrani ila tumeambiwa kaalika wafanyakazi WOTE. sasa nafikiri badala kuanza kurushiana maneno tungeomba maelezo zaidi kutoka kwa mtoa mada.
 
Hakika kabisa ishu ya kusoma misa kanisani kwaajili ya taasisi ya watu mchanganyiko (kama benki) ni kituko cha aina yake, unless kama mleta mada amekosea au kuchanganya jambo hili, labda pia aliitwa shehe ili asome dwaa kukidhi upande wa pili wa dini!

niko sahihi wala sijakosea. Jamaaa ni kweli kabisa mshikaji alisoma misa hiyo
 
Mi nilivyosoma ni kuwa mleta mada amesema KIMEI kaaaanda misa ya shukrani kwa maneno mengine misa ni ibada kwa kiswahili rahisi. sasa hapo hatujui ilifanyika wapi na viongozi wa dini ipi walifika katika kuongoza hiyo ibada ya shukrani ila tumeambiwa kaalika wafanyakazi WOTE. sasa nafikiri badala kuanza kurushiana maneno tungeomba maelezo zaidi kutoka kwa mtoa mada.

Usitake kuchanganya watu, wakristo tu ndio wana misa. Waislam na Wahindu hawana misa.

Misa si ibada kwa kiswahili, misa ni kiswahili, neno la kiingereza la misa ni "Mass". Waislam wana "Salat" = Sala, hawana "Mass"= Misa.

Wengine wamei define misa specifically kwamba ni lazima iwe na ekaristi, waislam sijawahi kuona wana ekaristi msikitini.
 
Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na gharama za kukaa dar ni juu ya benki. Zaidi ya yote, kuanzia mwezi januari mwakani kila mfanyakazi atakuwa akipata 'bonus' ya sh 120,000/= kila mwezi.

Haka kanchi ni katamu sana ukikapatia!
the goal of every firm is to maximize returns for shareholders..he has every right to celebrate as he is also a shareholder..also bonuses to employees is a way of reducing agency problems when we refer to the agency theory
 
the goal of every firm is to maximize returns for shareholders..

Maximizing returns for shareholders must be within corporate governance ethics and legally acceptable conduct. Kimei anaweza ku maximize returns kwa shareholders kwa kufanya CRDB iwe benki ya "money laundering", does that make "money laundering" right?

he has every right to celebrate as he is also a shareholder..

The issue here is not Kimei celebrating, he is entitled to that.

The issue is Kimei using CRDB's money to fund a Christian mass. This is not in the interests of fiscally responsible shareholders who know the meaning of ethical corporate governance. Hapa unatengeneza tatizo la kuwagawa shareholders wako, shareholders wa Kiislam wataona Wakristo wanapendelewa na labda CRDB si benki inayojali usawa wa shareholders wote, watu wanaweza kujiona kama "second class shareholders" hatimaye na wao watatafuta benki yao ya kiislamu. It is not a good look for good corporate governance.

also bonuses to employees is a way of reducing agency problems when we refer to the agency theory

The bonus must be justifiable

Kama ni kweli, Kimei kavunja Basic Accounting Principle hapa

http://www.accountingcoach.com/online-accounting-course/09Xpg01.html
1. Economic Entity Assumption

The accountant keeps all of the
business transactions of a sole proprietorship separate from the business owner's personal transactions. For legal purposes, a sole proprietorship and its owner are considered to be one entity, but for accounting purposes they are considered to be two separate entities.

Kwa nini kagharamia mambo yanayohusu imani yake personal kwa kutumia fedha za CRDB ?
 
Hakika kabisa ishu ya kusoma misa kanisani kwaajili ya taasisi ya watu mchanganyiko (kama benki) ni kituko cha aina yake, unless kama mleta mada amekosea au kuchanganya jambo hili, labda pia aliitwa shehe ili asome dwaa kukidhi upande wa pili wa dini!

wala sijachanganya na nna uhakika na nilichokwambia. nna jamaa yangu siku ya tukio jioni yake walijibweda kwa raha zao baada ya misa mchana. na wanajiandaa kuanzia january kupata hiyo bonus yao ya kila mwezi
 
SMU,

Hata mimi nafikiri kama wewe. Haiingii akilini CEO wa PLC atumie fedha za benki kwa shughuli ya kikanisa.

Hapa kuna possibilities mbili.

1. Kuna smear campaign na habari hizi hazina ukweli.
2. Bongo imeoza kiasi kwamba mambo ya kweli yakianikwa yanaonekana kama smear campaign.

I hope it is the first one, because if it is the second one, tupo pabaya kuliko nilivyofikiri.

Kwanini huamini kuwa jamaa amesoma misa ya shukrani kwa ajili ya mafanikio ya benki kupata faida kubwa mwaka huu? Kama una mtu unayemjua anafanya kazi crdb muulize atakwambia ni kweli kulikuwa na hiyo misa iliyofuatiwa na sherehe ya kujipongeza
 
Mi nilivyosoma ni kuwa mleta mada amesema KIMEI kaaaanda misa ya shukrani kwa maneno mengine misa ni ibada kwa kiswahili rahisi. sasa hapo hatujui ilifanyika wapi na viongozi wa dini ipi walifika katika kuongoza hiyo ibada ya shukrani ila tumeambiwa kaalika wafanyakazi WOTE. sasa nafikiri badala kuanza kurushiana maneno tungeomba maelezo zaidi kutoka kwa mtoa mada.

Kimei ni mkatoliki, hivyo hiyo alosoma ni misa.
 
kauza hisa, anaongeza working capital na overheads hapohapo......... come 12 months hisa zina value ndogo kuliko expected
 
Kwanini huamini kuwa jamaa amesoma misa ya shukrani kwa ajili ya mafanikio ya benki kupata faida kubwa mwaka huu? Kama una mtu unayemjua anafanya kazi crdb muulize atakwambia ni kweli kulikuwa na hiyo misa iliyofuatiwa na sherehe ya kujipongeza

Nisichoamini - kinachoniwia ugumu kuamini- si kusomwa kwa misa, ni hilo jambo la Kimei kutumia fedha za CRDB kufanikisha hiyo misa.

This is against the most basic of not only corporate governance ethics, but also PR moves.

Tanzania si Saudi Arabia, Thailand au Vatican useme kwamba kuna dini rasmi ya nchi. Hatuna hilo.

CEO wa benki akifanya hivyo tayari kashanunua bad press kwa wateja, wafanyakazi na shareholders za dini nyingine. CEO anatakiwa kuongeza wigo wa biashara, sio kuupunguza, sasa hapa ana send signals kwamba wakristo ndio wanapewa kipaumbele na CRDB, this is always a difficult issue.

Naona ugumu kuamini mtu mzima kama Kimei ana uzoefu lakini halijui hili.

Lakini imani za dini zinaweza kupalilia upuuzi ambao unaweza kumfanya hata mtu kama Kimei kulewa madaraka na kuona dini yake inapaswa kuwekwa mbele zaidi ya wateja, wafanyakazi na shareholders wote.
 
fanyeni utafiti kabla ya kubwabwaja hapa....Acheni kudanganyana ile ilikuwa ni misa ya kimei kwenda kumshukuru Mungu kwa mafanikio ambayo bank imepata yeye kama CEO kwake ni kama furaha na jambo la kushukuru,then akaamua kualika wafanyakazi wa karibu atakaependa kumuunga mkono aende kujiunga nae...haukuwa lazima na hakuna alielipiwa chochote.
ni sawa na mtu anaeenda kushukuru Mungu kwa kitu chochote then akaomba rafikize wamsindikize

brown and bolded: mkuu acha kudanganya, watu walialikwa from all branches na waliambiwa watalipiwa malazi, chakula na nauli ya kuja na kurudi. Na hiyo bonus ya 120,000/= kwa mwezi mbona hujaitaja? Kuna mengi mabaya unayajua hutaki kuyasema hapa, ila walau umewahakikishia wadau wamejua kuwa ni kweli jamaa hiyo misa iliendeshwa in the name of crdb
 
wakuu misa huwa haina gharama kama wengi mnavyotaka kubadili ukweli wa thread hii. Gharama ya misa haifikii hata 10,000/= kiasi ambacho mhusika mwenyewe ana uwezo wa kukitoa. Issue ni huko kusoma misa pekee bila kufanya kitu kama hicho kwa ajili ya watumishi wa imani nyingine kama baadhi wanavojaribu kujenga hoja.
 
:help:nanukuu sehemu ya post "Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa"
sasa hapo ukristo unakujaje, misa ya kumshukuru mungu tafsri yake ni kushukuru kikiristo? misa inwahusisha waumini wote na ni neutral na haina madhara kwa wapagani, ni kama ile sala ya bungeni huwezi sema ni ya dini fulani, lakini bunge linafunguliwa kwa sala ya kumwomba mungu.
 
Kuna jambo limesemwa hapa kwamba kasafirisha wafanyakazi kwa gharama ya CRDB.

Halafu hata kama gharama ya misa ni shilingi moja si issue, issue ni kwamba hiyo shilingi moja itatoka mfukoni mwa Kimei au CRDB?
 
:help:nanukuu sehemu ya post "Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa"
sasa hapo ukristo unakujaje, misa ya kumshukuru mungu tafsri yake ni kushukuru kikiristo? misa inwahusisha waumini wote na ni neutral na haina madhara kwa wapagani, ni kama ile sala ya bungeni huwezi sema ni ya dini fulani, lakini bunge linafunguliwa kwa sala ya kumwomba mungu.

Fuatilia juu hapo nilipochambua neno "misa". Waislam hawana misa.Wahindu hawana misa.Wapagani hawana misa.
 
Kama ni kweli sijui ni dalili za nini? hata Marekani nako wakuu walianza kwa kulipana mabonus hewa kabla ya kubust
 
Nimesoma kwa makini sana suala hili kushangazwa sana na lengo has na mtoa mada ni nini?1.Dr.Kimei kutoa shukran kanisani kwake kuna kosa gani?mbona wenzetu waislam wanafanya Maulid kila uchao?2.Fedha za umma zinatumikaje kwenye misa ya shukrani?unajua maana ya misa ya shukrani?umeshawahi kuomba misa ya shukrani ukachajiwa hela kanisani?3.Umejuaje kuna staff walioletwa kutoka mikoani?prove4.Mbona wakati Dr.Kimei alipotoa pesa za kujenga Misikiti kule Kisarawe hamkusema ni mdini?5.Hakuna ukweli wowote wa "Bonus" ya Tsh 120, 000 kwa kila staff, CRDB ina staff 1600 now, where the hell will all that money come from monthly?#uongo#6.Hakuna staff yoyote aliyelazimishwa kwenda kanisa, kama ww dini yako ni tofauti ulikuwa na haki ya kumshukuru Mungu kivyako.7.Naomba tujadili mambo yenye tija kwa jamii sio allegations zisizo na maana.MShukuru Mungu kwa Kila Jambo..
 
Nisichoamini - kinachoniwia ugumu kuamini- si kusomwa kwa misa, ni hilo jambo la Kimei kutumia fedha za CRDB kufanikisha hiyo misa.

This is against the most basic of not only corporate governance ethics, but also PR moves.

QUOTE]

Naomba nitofautiane na wewe

Biashara kama ilivyo siasa unatafuta wateja popote ikiwemo misikitini na makanisani ndio maana kuna Islamic Banking kwenye mabenki yes wanatumia pesa ku-promote islamic banking ili waisllamu waione ni benki yao wajiunge benki lipate faida kubwa.Kwa hiyo hata CRDB kuingia kanisani wakafikia malengo ya wakristo waione Benki kama ni yao wakajiunga kwa wingi watakuwa wamefanya vizuri.Ukumbuke makanisa pia yanakusanya mamillioni ya sadaka sasa akiwapata makanisa yakaweka hayo mamilioni ya pesa za sadaka benki itakuwa mbali.Kwa hiyo benki kuingia kanisani si kitu cha ajabu kibiashara.Inaenda ku-ongeza image,kujitangaza na kusaka customers.Kupata customer mzuri siyo kitu cha mchezo.Customer mzuri humsubiri dukani lazima umfuate aliko.Usifikiri ukitangaza tu radion,Tv n.k kuwa aje atakuja wako customer wazuri sana wanakuwa na nyodo inabidi umfuate huko aliko kwa kila mbinu.

Benki zote zina makundi wanayolenga (target market).Kuna benki zinalenga wazungu,wahindi,waarabu,wenye migodi,wamarekani,waingereza n.k

Dr.Kimei kafanya kazi kubwa CRDB ilikuwa mahututi lakini kaipaisha kiasi kuwa iko vizuri.

Halafu hizo ibada pia hazifanyi tu analenga maeneo ya makanisa ya wenye nazo ambako anajua wakiingia benki inakuwa imepata wateja wa nguvu makanisa yenyewe au waumini matajiri waliomo kwenye hayo makanisa.Ni just business strategy.

kingadvisor@yahoo.com
 
hawa jamaa binafsi nawakubali pamoja na riba kubwa walizo nazo
siwajui sana kiofisi lakini kazi zao mtaani zinaonekana na hasa kwa kufanya kazi karibu na maskini kupitia saccos
kama hiyo haitoshi ni benki ya kwanza kuwakopesha wakulima wasio na dhamana mradi wenye dhamani ya zaidi ya 1.5 billion tena kwenye shamba kila aliyepewa mkopo anategemea kupata pato lisilopungua milioni 30 kwa mwaka
swla la misa ni shukrani binafsi kwa mafanikio yaliyoonekana
sasa kwa nini asiongeze posho
 
Back
Top Bottom