Nisichoamini - kinachoniwia ugumu kuamini- si kusomwa kwa misa, ni hilo jambo la Kimei kutumia fedha za CRDB kufanikisha hiyo misa.
This is against the most basic of not only corporate governance ethics, but also PR moves.
QUOTE]
Naomba nitofautiane na wewe
Biashara kama ilivyo siasa unatafuta wateja popote ikiwemo misikitini na makanisani ndio maana kuna Islamic Banking kwenye mabenki yes wanatumia pesa ku-promote islamic banking ili waisllamu waione ni benki yao wajiunge benki lipate faida kubwa.Kwa hiyo hata CRDB kuingia kanisani wakafikia malengo ya wakristo waione Benki kama ni yao wakajiunga kwa wingi watakuwa wamefanya vizuri.Ukumbuke makanisa pia yanakusanya mamillioni ya sadaka sasa akiwapata makanisa yakaweka hayo mamilioni ya pesa za sadaka benki itakuwa mbali.Kwa hiyo benki kuingia kanisani si kitu cha ajabu kibiashara.Inaenda ku-ongeza image,kujitangaza na kusaka customers.Kupata customer mzuri siyo kitu cha mchezo.Customer mzuri humsubiri dukani lazima umfuate aliko.Usifikiri ukitangaza tu radion,Tv n.k kuwa aje atakuja wako customer wazuri sana wanakuwa na nyodo inabidi umfuate huko aliko kwa kila mbinu.
Benki zote zina makundi wanayolenga (target market).Kuna benki zinalenga wazungu,wahindi,waarabu,wenye migodi,wamarekani,waingereza n.k
Dr.Kimei kafanya kazi kubwa CRDB ilikuwa mahututi lakini kaipaisha kiasi kuwa iko vizuri.
Halafu hizo ibada pia hazifanyi tu analenga maeneo ya makanisa ya wenye nazo ambako anajua wakiingia benki inakuwa imepata wateja wa nguvu makanisa yenyewe au waumini matajiri waliomo kwenye hayo makanisa.Ni just business strategy.
kingadvisor@yahoo.com