Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Tz nchi ya amani.... heshimu d0la....
 
Memalza..
 
We ungekua ni mtekaji ungeweza kukaa na Exhibit miaka mi 3 ?
Na waliokaa pale karibu na magari yanayopita kwa juu tangu miaka ya 80 na 90, na labda mpaka miaka ya mwanzoni ya 2000 je?

Usalama wa taifa, sio taifa hili tu...taifa lolote linalindwa kwa machozi, jasho na damu.

Nilichojifunza miaka hii tupo weng sanai, kaya moja mpaka moja ni within a sentimita zimeingiliana, uwazi na taarifa zinasambaa sana tena sana.
Mitandao ya kijamii, watu kupashana habari ni swala la milisekunde kama sio sekunde moja tu on the go habari zimezagaa.
 
Hayati Jomo Kenyatta atambulike kama mwana sayansi aliyegundua maiti zinazotembea.
 
Punguza kukaa vijiwe vya kahawa
 
Wewe umetoa majibu sahihi...izo speculation nyingine za mtoa mada ni pata potea...kwa nijuavyo..wazee wa kazi wakitoa onyo,ukikaidi,,wanakutembelea..na hawajawahi kumuonea mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…