Manny Pacquiao ambonda Keith Thurman

Manny Pacquiao ambonda Keith Thurman

Pambano limepigwa alfajiri ya leo katika ukumbi maarufu wa masumbwi MGM GRAND Nevada, LAS VEGAS.
Mpambano ulianza kwa mabondia wote kuviziana na kuchukukua tahadhari zote,lakini mistake ndogo aliyoifanya Keith Thurman ilimfanya Pacquiao kutumia hiyo weakness na kumsukumia makonde yaliyomlambisha sakafu Keith. Katika raundi Keith alikuwa makini zaidi na kutumia advantage ya urefu wa mikono yake kumpiga Packman kwa mbali. Pamoja na Manny Pacquiao kumshinda mpinzani wake kwa points,lakini Keith Thurman ameonyesha uwezo mkubwa katika boxing, hakika ni Bondia mzuri kama itapigwa mechi ya marudiano nna uhakika anaweza kumpiga Pacquiao.
Wanyonge hao
 
Wee! Floyd Mayweather Jr mashine nyingine tangu ameanza kucheza ngumi za kulipwa hajawahi poteza.Hata Saul Alvarez Canelo anakumbuka kipondo alichokipata toka kwa Floyd. Pacquiao kipindi cha nyuma akiwa kwenye 30's ndio alikuwa sharp punch zilikuwa zinatoka kwa kasi, lakini sasa hivi ana 40 kiwango kimepungua.
Myweather kashinda mapambano mengi kwa points na mengi ya kubebwa bebwa tu.

Huyo Packman ukiingia kumi nane zake anakuzibua kweli kweli.
Erick Delahoya anamjua vizuri.
 
Myweather kashinda mapambano mengi kwa points na mengi ya kubebwa bebwa tu.

Huyo Packman ukiingia kumi nane zake anakuzibua kweli kweli.
Erick Delahoya anamjua vizuri.
Kweli Bro wewe ni mfuatiliaji wa boxing De Lahoya anafahamu punch za Pacman
 
Back
Top Bottom