Manny Pacquiao amtakia ushindi mwema Floyd ila amemsisitiza asikimbie kimbie uwanjani.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mwanamasumbwi machachari kutoka ufilipino ambaye pia amebatizwa jina la ngumi cherehani na mashabiki wa ndondi kutokea Tanzanian ndugu Emmanuel Dapdrin ambaye pia maarufu kwa jina la Manny Pacquiao amemtakia heri ya pambano Floyd Mayweather litakalofanyika kesho alfajiri.


Mbali na kumtakia heri pia alichomekea na kiutani kwa mbali kwa kumtaka Floyd asikimbie kimbie hovyo ulingoni bali arushe punches za maana .






Pacquiao tangu hapo awali yupo upande wa Floyd na anaamini Floyd atashinda kiwepesi sana.


Pacquiao yeye atapambana pambano la marudiano mwezi wa 11dhidi ya Jeff Horn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…