Hawa miamba wawili kwanini hawatwangani tujue nani mbabe zaidi maana kila mtanange ukipangwa upande mmoja unazingua.
Mimi naamini Mayweather ni mkali kuliko Pacquiao ninachosubiri ni raundi 12 tu tuje kujua nani ni nani sio vizuri kuwa na watema wawili kwenye era moja!.