Manny pacquiao vs juan marquez

...na tukumbuke kuwa hii ni mara ya tatu Pacman anapigana na Marquez (JMM)..wamedraw mara moja na hfight mbili zilizobaki fans are not convinced kama Pacman ameshinda (perhaps hata Pacman mwenyewe, no wonder they had these rematches)
 

Mayweather ni bondia mzuri sana lakini kuna chuki kubwa dhidi yake ambayo huwafanya wengi wasiuone uwezo mkubwa aliokuwa nao kama bondia.
 
yaani haya matokeo ya juzi yamenifanya nimdharau sana Pac-man.full mbeleko,kudadadeki!yaani left- overs za Money maywether zimekachapa ka-filipino ka watu vibaya vibaya!hate him kwa anavyojisifia,but unapaswa tu kutambua uwezo wa Floyd Maywether ulingoni aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…