...Wengi tunasoma comments za kwenye you tube; watu wengi wanamchikia mayweather, for no apparent reasons.....they never talk about his outstanding boxing skills, they purposely try to ignore his records and alays try tyo look what he didnt do well in a fight. lakini mabondia wote ambao watu walisema wangempiga waliishia kupigwa vibaya..na baada ya mchezo watu wanabadilisha maneno kuwa ohh, De la Hoya kapigwa umri umeenda, Oh..margarito kazeeka, ohh ricky Hatton hakuwa amewahi kukutana na bondiamkali..na juzi ortiz kuwa amepigwa wakati mchezo umesimama...sikiliza inteerview ya Ortiz; anakubali amepigwa. na hapa msikilize De La Hoya
De La Hoya says Floyd Mayweather Will Destroy Pacqiuao - YouTube