Hapo mwanzoni mwa miaka ya tisini tukiwa tunaishi kota. alikuja mtoto mmoja na kuanza kuelezea alivyomuona baba yake amelala bila nguo, mtoto huyo jina lake halisi simkumbuki na kwa kipindi kile alikuwa na miaka 3 au 4, na akawa akielezea alivyoona "nywele" za sehemu mbalimbali za mwili wa baba yake akisema:
"baba alikuwa amalala nkamuona manoah ya hapa ... (akionyesha hizo sehemu)na manoa ya hapa... na ya hapa..."
Ujue huyu Smiling Saint aliniambia ni muunge na marejesho , mie nikasema sifanyi izo kazi alafu ni mke wa Filipo si ndio kaja kumwaga mambo yangu, ila hata yeye nita ziweka zake soon