Hapo mwanzoni mwa miaka ya tisini tukiwa tunaishi kota. alikuja mtoto mmoja na kuanza kuelezea alivyomuona baba yake amelala bila nguo, mtoto huyo jina lake halisi simkumbuki na kwa kipindi kile alikuwa na miaka 3 au 4, na akawa akielezea alivyoona "nywele" za sehemu mbalimbali za mwili wa baba yake akisema:
"baba alikuwa amalala nkamuona
manoah ya hapa ... (akionyesha hizo sehemu)na manoa ya hapa... na ya hapa..."
Tangu siku ile yule dogo tulimuita
manoah
Sasa sijui ndiye huyu wa JF!? naona umekua!