Smiling Saint usipite jamani. Hujambo?
.....my wife karibu.....mwaaaaaahhh....
mh ndo digital imekuelekeza hivyo manoah?
leo umewahi kukimbia...unajua wkiend leo nataka tushinde woteeee....ahsante my hubby. Hujambo?
my wife umesahau kunihug kwa sabbu ya mabishano....umesahau mafunzo ya unyago eeehh
sio hivyo hubby bado namshangaa manoah kakubali faster then asingizia digita. Waow hubby
mh ndo digital imekuelekeza hivyo manoah?
sio hivyo hubby bado namshangaa manoah kakubali faster then asingizia digita. Waow hubby
Una ajenda gani na Suprise my love!
UPWEKE MBAYAAAAA......MUOMBEEE NEEEMA....kwani yeye ndo kaimbishwa.....nahisi kuna ukiukwaji mila na desturi za kitanzania hapa
sina thats why najitolea kuwa dereva wa bwana harusi
sina thats why najitolea kuwa dereva wa bwana harusi
Smiling Saint nipo kwa wiki napata muda mzuri j.mos and j.pil
halafu unaweza nisaidia kupata shamba mabwepande?