Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kwa mbaali nahisi unaanza kuninyemelea!

Basi nikuache ulale kwani nilitaka kuanza kupiga story, nahisi nitakuwa nakuonea. Au tuamie zetu PM kama kawa? Note: Erickb52 asione bandiko hili, ana wivu huyo.
 
Last edited by a moderator:
na wewe mjomba Erickb52 utulizane sio kuwaambia wenzio tu, mwaka huu hunatiani ila makubwa yatakupata kama hutaacha mambo zako, natabiri
 
Last edited by a moderator:

Duh... hili bandiko nilikuwa sijaliona. Hongera manoah kwa kuanza mwaka mpya na tabia mpya!!!!!
 
Last edited by a moderator:
barikiwa sana mwanangu, Mungu awe msimamizi wa maisha yako leo na hata milele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…