stevoh mi sijasema aisee hayo ni maneno yako maana kuna watu hawakawii kunireport abuse buree!
Ila kuna kapendapenda kamoja kananiita pacha wake ( TANMO na Preta ) hawa sikuwaweka kwenye list ila wao wamo!
Heheheee Arushaone hata upige majungu aje mi kwa Kipipi sibanduki ng'oooo
Nampenda kwa kuwa ni mpole....mstaarabu sana na hana mapepe km wengine....!
Anaheshima sana na mapenzi ya dhati yasiyo na tamaa! Kipipi pata hako kawimbo maalumu kwa ajili yako!
Erickb52 futa kauli yako mi sio penda penda bana kama Mungi na Vin Diesel
Halafu mwaka mpya nimeacha majungu aise Erickb52 ila kuna moja tuu
Jana ulikuwa unatoka wapi mbona nilikuona unatokea mitaa ya ungalelo