Manoah ni mfano wa Kuigwa JF



heheh kumbe namie ni mpole alafu mstaarabu . . . .siamini bado!
Endelea kunidhihirishia basi . . . . manake hizo sifa mmmh naona kama umenipendelea sana lol!

Dah . . . .kwa hiyo nyimbo ndo umenimaliza kabisa Erickb52.
Asante kwa kuifanya siku yangu iwe nzuri.
Tafadhali ukinunua fanta orange niite nije nikunyweshe tena!
 
Last edited by a moderator:

kweli manoah amekuwa ni mfano wa kuigwa!
 
Last edited by a moderator:
mweeh eti wewe ndio waandaliwa mahari na Erickb52....kwa niliyoshuhudia Tanga mmmh sijui!!!

Hayo tena ya lini?
Ilikuwa ni baada ya nyu yia . . . . mbona mi sijasikia?

Heheh labda atakua anamuandalia yule Kipipi wa Njiro sio mie wa jamvini!
 
Erickb52 said:
Miss you sana Arabela
Nashukuru umemuaachia Arushaone arudi Arusha...naomba namimi nijiexport TA
( babu Dark City asijue eeh)

Hapa upo patna wangu wa kuyarudi maCharanga, Salsa, Tango na Rhumba.
 
Hayo tena ya lini?
Ilikuwa ni baada ya nyu yia . . . . mbona mi sijasikia?

Heheh labda atakua anamuandalia yule Kipipi wa Njiro sio mie wa jamvini!

Erickb52 kuja huku maana nilikurekodi ukiongea na King'asti kuhusu mahari ya Kiperemende...kumbe hujamtaarifu mtoto wa watu...hii tabia hujakoma tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…