Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kwani nane ni wengi?
Hivi ushawahi muuliza anapojiita watu8 anamaanish nini?
Heheheheee isijekuwa ndio idadi ya Small na Big hausi ooh utajikuta we hata kwenye hao nane humo
Hahahahaaaa

Hahaha...mkuu hili ni jeshi la mtu mmoja lenye vikosi nane ogopa
 
Last edited by a moderator:
Mpaka sasa washafika watano, tunahitaji mtoto mmoja tu ili familia yote kwa ujumla iwe na watu 8.
Hahahahaaaa nilidhani hiyo ni idadi ya wake zako wote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…