Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Mamndenyi usije pata ugonjwa wa moyo bure
Vin Diesel jana kamtumia sweetlady kadi na anamwambia hajamsahau kabisa
Halafu bora awe na Mamndenyi tu ila sasa mara kwa Lily Flower mara kwa marejesho (Usiku) mara kwa sweetlady na hakawii kwenda kwa my swthrt Kipipi (Hapo BUSHA litamuhusu)Vin Diesel wacha kuhangaika kama una upendo na Mamndenyi hakuna cha kuhangaika
Tatizo hujamwacha sweetlady kihalisia bado una chembechembe za kumpenda
Nani kakuomba utangaze....nitakuletea picha....
Halafu bora awe na Mamndenyi tu ila sasa mara kwa Lily Flower mara kwa marejesho (Usiku) mara kwa sweetlady na hakawii kwenda kwa my swthrt Kipipi (Hapo BUSHA litamuhusu)
Hivi sijakusalimia madame Lily Flower ?Atakuletea picha ya kwake na sweetlady, wanasafari ya chini kwa chini ya kwenda huko eti kisa walimiss.
Mambo bby!
Mbona jana ukapotea aisee?
Niko tayari kufungwa kwa ajili yako Kipipi
Eti una wivu wakati wewe mwenyewe ndo walewale mara Asprin mara Arushaone mara Vin Diesel lol huna lolote
Hivi sijakusalimia madame Lily Flower ?
Mzima wewe???