Heheheheeee hapo tu ndio umeongea la maana Mr Rocky

naona umeshajituliza hapo sweetlady nilisikia anakuulizia
Tatizo Vin Diesel anaruka ruka mara kwa sweetlady mara kwa kukutona mara kwa Lily Flower wakati hata msingi wa ndoa yake na Mamndenyi haijawekwa rasmi
Vin Diesel yuko kusaka mkwanja wa kula weekend, ngoja atakujaga tu.
Sie ni marafiki tu Mr Rocky......
Lily Flower mmeo Mungi analijua hili la urafiki wako na Vin Diesel
Na kwamba wakati Mungi akiwa selo mlikutana kisiri kwenye lodge moja hivi ufukweni usiku
Tatizo Vin Diesel anaruka ruka mara kwa sweetlady mara kwa kukutona mara kwa Lily Flower wakati hata msingi wa ndoa yake na Mamndenyi haijawekwa rasmi
nitonye
Lily Flower huyu Mungi ni ndugu yangu sitaki aumie aise kwa mambo wewe na Vin Diesel mnafanya
Mamndenyi analijua hilo la kuwa KOKUTONA pia ni rafiki yako tuu mnayekutana beach kula raha na mlikuwa nae tanga
Lily Flower mmeo Mungi analijua hili la urafiki wako na Vin Diesel
Na kwamba wakati Mungi akiwa selo mlikutana kisiri kwenye lodge moja hivi ufukweni usiku
Hivi na wewe umeajiriwa na Shigongo Mr Rocky? Vin Diesel hebu njoo huku haya makitu yanamashiko kweli?
unamuongopea mwenzio hata nafsi yako inakusuta