Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Lily Flower huyu Mungi ni ndugu yangu sitaki aumie aise kwa mambo wewe na Vin Diesel mnafanya
Mamndenyi analijua hilo la kuwa KOKUTONA pia ni rafiki yako tuu mnayekutana beach kula raha na mlikuwa nae tanga
Lily Flower mmeo Mungi analijua hili la urafiki wako na Vin Diesel
Na kwamba wakati Mungi akiwa selo mlikutana kisiri kwenye lodge moja hivi ufukweni usiku
Mungi ni ndugu yangu pia...na Lily Flower ni rafiki tuu...
KOKUTONA ni rafiki pia...ugumu upo wapi hapa kuelewa..
wewe kila demu rafiki yako ilihali unaenda kufanya nao uchafu shame on you
Kwani marafiki kukutana ufukweni mchana ni dhambi?
Mi naelewa kabisa Lily Flower wala sina wasi wasi na namuelewa sana Vin Diesel wala sina doubt
Tatizo ni kuwa ndani ya urafiki kuna siri kubwa sana
Mi naelewa kabisa Lily Flower wala sina wasi wasi na namuelewa sana Vin Diesel wala sina doubt
Tatizo ni kuwa ndani ya urafiki kuna siri kubwa sana
Siri gani hiyo ambayo sie hatuijui.....ukikaa na Lily Flower ndio utaelewa kwanini ni rafiki yangu....
Arushaone hivi hii thread inahusu nini vile hebu niambie na Vin Diesel atuambie aise
Yan walipoingia Penda Penda Vin Diesel na Mr Rocky ngoma ikaacha njia hahahaaaaaaKwa memory yangu ni ya manoah ilipofika kati steling mwingine MAJUNGU akaiteka!
Naona huyu mke mpya hajajisoma bado kama azame kwenye tope au aendelee kupiga danadanaTatizo Vin Diesel anaruka ruka mara kwa sweetlady mara kwa kukutona mara kwa Lily Flower wakati hata msingi wa ndoa yake na Mamndenyi haijawekwa rasmi
Hajui kuwa urafiki ni zaidi ya undugu.
Yan walipoingia Penda Penda Vin Diesel na Mr Rocky ngoma ikaacha njia hahahaaaaaa
Yan walipoingia Penda Penda Vin Diesel na Mr Rocky ngoma ikaacha njia hahahaaaaaa