Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Erickb52, Mamndenyi kajitoa rasmi kwa Vin Diesel inaonyesha ni kicheche hebu nipite zangu mie.
Mke wangu usitake kuniumiza moyo wangu
Usiende tafadhali.
Gangamala Mamndenyi ndoa sio lele mama, kwanini unakata tamaa mapema hivyo?
Mke wangu usitake kuniumiza moyo wangu
Usiende tafadhali.
Vin Diesel lazima nikupe muda wa matazamio kama ni ukweli au ni macho yangu.
kuna jambo nataka tutete kidogo ila Mungi asijue
Nimeplease nikiwa kama wifi yake hataenda.....
Lily Flower mmeo Mungi analijua hili la urafiki wako na Vin Diesel
Na kwamba wakati Mungi akiwa selo mlikutana kisiri kwenye lodge moja hivi ufukweni usiku
Lily Flower mie siwezaji mbio za marathon.
ungejua hapo unawasiliana na Mungi ungekaa kimya. Lily Flower yupo na ID ya Mungi, na mimi nipo na ID ya Lily Flower.
karibu tutete
Unapenda ushabiki Erickb52 nimeongea nae amesema haendi tena anarudi kwa mumewe mpenzi.
Hebu funguka mke wangu....nini chakukwaza tukifanyie kazi....
Vin Diesel hapo ndio pa muhimu tu kwa furaha ya moyo wako!ha ha ha ha haaaaaaaaa mmmmh Vin Diesel unabembeleza kama vile vya ukweli kweli jamani, loh,
mie naenda kuosha macho kule kwa watu wazima then napotea kidogo but usihofu najua yatakuwa sawa tu.
ha ha ha ha haaaaaaaaa mmmmh Vin Diesel unabembeleza kama vile vya ukweli kweli jamani, loh,
mie naenda kuosha macho kule kwa watu wazima then napotea kidogo but usihofu najua yatakuwa sawa tu.