Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
Heheheee ina maana lara 1 haka kajamaa kanavuta kasi???
Ila ngoja tuone kama kana mikakati ilojificha
Mi naamini jasiri haachi asili hongera Manoah
Mi simwanini manoah hata kidogo...atakuwa anabanwa kiaina fulani na mtu wake. Mara ya mwisho nilisikia kuwa wamepeana ID na password na naniliu wake, kwahiyo kwa namna yoyote hawezi kuongea maneno kama ya siku za nyuma!
Unasema manoah amebadilika?
Hebu mpe vodka uone kama hatatangulia kwenye server ya Jf
Hongera Dear kwa Kubadilika, naamini Hutawakwaza watu tena.................
Nikutakie Mafanikio Mema.
Dah naomba uwe mshauri wa hawa vijana wa humu....!Jasiri haachi asili, ni katika mambo ya msingi na yenye tija. Ila kama hayana tija uya tendendayo kwa wenzako epusha kelo kwa kuacha hiyo asili, hakuna lisilo wezekana chini ya jua.