Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Wajaameni karibu mbuzi tumechinja hapa mto wa mbu!na mabia kibao!nawatakia weekend njema hapo jijini!
 
Sasa kama alifanikiwa kukuficha mpaka leo basi you are LOGEKABLE! LOL

Za siku nzuri tu ndugu yangu, habari za mwaka jana?

hata gari liwe na speed gani lakini lina reverse gear, ndio maana walijaribu but hawakujua nimeingia na tindo!!! Mwaka jana kwangu ni moja ya sababu za kutoonekana pia hewani, nashukuru umepita tuanze mambo na mipango mipya... ulikuwaje kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…