Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
kaka (shemeji), nangojea kwa hamu kuona lile chaguo jipya. Simba mwenda pole lazma atusurprise hehehe. Heri ya mwaka mpya banaa!
Umeona eee Vin Diesel kwisha habari yao.Kwa hisani ya Lily Flower....wanafiki wote wameshindwa...
Umeona eee Vin Diesel kwisha habari yao.
i missed you
Thats my boy mwaah mwaah mwaah.Im very special to my Lily Flower, and she is so special to me mkuu usijali. kwa Lily Flower upendo wetu si wa kujitutumua, ni upendo wa dhati kutoka moyoni mazee
Umeona eee Vin Diesel kwisha habari yao.
Heri ya mwaka mpya pia shemeji shemeji.....sijakuona kabisa mwaka huu....tukutane leo jioni tupige lager za KOKUTONA.....
Karibu.
Umechelewa hadi nimesahau nilitaka kukuambia nini!