Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Mie, nimuumini mzuri sana wa Roman Cathoric na mwenye mapenzi kwa watu wote kwani naamini katika upendo na amani ya kweli vina jengwa ndani ya nafsi iliyo huru kama yangu
siku unataka kufungua kanisa unistue kaka, najua kuhesabu sadaka chapchap bila kulamba vidole.
 
Night dress ipi unavaa leo? Nyeupe,gold,silver,black ama niliyokuletea toka congo kinshasa?

Anavaa ile yenye ua jekundu kwa nyuma....anapendezaga sana akivaa lol sio Madame B ni ma wife
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu kaka Mungi, sasa ivi situmii izo vitu ndugu yangu.

Sasa mchungaji niombee na Mimi nisiende picnic ------ bar au shivas au ambiance Wala jollys hata the red lights Kule Amsterdam
 
Last edited by a moderator:
Sasa mchungaji niombee na Mimi nisiende picnic ------ bar au shivas au ambiance Wala jollys hata the red lights Kule Amsterdam

Hebu mtafute mzabzab mje nae tuwaombee faster
 
Last edited by a moderator:
Maeneo hayo tajwa si salama ndugu yangu na wala kwa maendeleo ya maisha yako. Ndugu yangu kabla hujaenda katika maeneo hayo tazama mbigu na ardhi utambue ukuu wangu kisha tafakari nini Mungu ana hitaji kutoka kwako
Sasa mchungaji niombee na Mimi nisiende picnic ------ bar au shivas au ambiance Wala jollys hata the red lights Kule Amsterdam
 
Afadhali madame B kama hata unaweza kunyanyua mguu kwa kweli ni improvement maana nilikuwa na wasiwasi..............
Kwa sasa hata ukimpigisha mguu pande na mguu sawa anaweza bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…