Maureen yupo, ila sio mpenzi wangu tena, japo mie na yeye tunabaki kama ndugu au marafiki kwasababu tulikua wapenzi wenye malengo chanya, na hatujapenda tuyakatize.
Heko heko manoah!
Kuachana naye ndio chachu ya hivi upo sasa...maana miezi kadhaa ulikua wapenda jitutumua kama uji wa vitumbua kikaangoni...
Asante Marry Hunbig, mzima? Alafu siku izi mbona unapoteaga bila hata ya kuaga
Huyo ndio mtaalamu sana wa hizo kona
Kafuata njia isiyo na msongamano
Sipotei mpendwa,ni majukumu tu yanabana na hiv yo nafasi kuwa finyu.
Mimi ni mzima kabisa,sijui wewe!
Hayupo JF mkuu, ila kila ambapo manoah alikuwa anakuwepo Maureen alikua hakosi...ni kama mtu na kivuli chake
Mie, ni mzima ndugu yangu. Ndio ukubwa Marry Hunbig majukumu ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, ila kuyafanya mapesi yatupasa kuya kabizi mikononi mwa Bwana