Kama mathayo 7:13 inavyo sema(kama sijakosea)-Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba,maana njia imesonga iendayo uzimani,nao waionao ni wachache.
Ubarikiwe manoah kwa kuamua kupitia njia nyembamba.
Sasa ikawaje? Nani kamtenda mwenzake
?
manoah kila la heri katika maisha mapya.. Ingawa huenda hujayazoea..
pamoja na ufukunyuku wangu wote, hapo nimegonga mwamba kujua.... manoah hebu toa jibu mushadadi hapa...
manoah kila la heri katika maisha mapya.. Ingawa huenda hujayazoea..
Asante ndugu.
So mko wanne?
Tatizo mlikula tunda la mti wa katikati....msingekula mngedumu. Na km ungekuwa na Moureen sasa hope msingeachana coz usingemkwaza.Nafikiri, Maureen kuna mtu sahihi ambae yupo na ni chaguo lake pia hata Mungu Mwenyezi atawabariki, Mimi pia nahisi kuna mtu sahihi juu yangu atakuja. Na ndio maana hatuja dumu katika mapenzi yetu
Hapana kaka Erickb52, haumfahamu kabisa na hakuna anae mfahamu, mnge mfahamu kama angekubali kuja Tanga sema alikua kabanwa na mitihani, kwani sasa ivi tumebaki kua marafiki na kama ndugu ingawa tumeachana.
trachomatis atayaweza kwa imani...muombee ayaweze
Hahahaaa hivi hata humu kuna watu bado ni ma analogy?