Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ni kama tunavyotaabika na watu wa analogi huku kwetu digitali... taabu tupu...
Ila umecope fasta sana..
Tatizo mlikula tunda la mti wa katikati....msingekula mngedumu. Na km ungekuwa na Moureen sasa hope msingeachana coz usingemkwaza.
Naamini kwa ulivyokuwa...lol we ndio ulianzisha ugomvi coz moureen ni mpole sana
tuseme umeokoka au?Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
Nafikiri, Maureen kuna mtu sahihi ambae yupo na ni chaguo lake pia hata Mungu Mwenyezi atawabariki, Mimi pia nahisi kuna mtu sahihi juu yangu atakuja. Na ndio maana hatuja dumu katika mapenzi yetu
Labda kutokufanya ndiko kumemkimbiza huwezi jua lolUkweli Maureen ni Mpole sana kama mimi nilivyo, na hadi tunaachana hatujawai kufanya mapenzi, huu ni ukweli 100%. Basi tu haijawa mipango ya Mungu katika hili jambo na hatu kumtanguliza kipindi tunaanzisha mausiano
Uko sahihi kabisa...mi huwa namtania Mpemba. She is cute for real na ni cool sana.Nisikatae huenda mna mfahamu, ila wasifu wake, ni binti mrembo kutoka Tanga, ana umri wa miaka 21, umbo na sura ni kama Jokate, anasoma chuo flani maswala ya uhandisi.. Ni shombe shombe flani ivi.
tuseme umeokoka au?
tuseme umeokoka au?
hahaha....we kalaghabao tu unaposema pangu pakavu wenzio huko wanajua namna ya kutia mchuzi
Mambo ni digital hata mlalamikePole sana kwa taabu inayo kukabili pamoja na watanzania wengine walio kumbwa na hili tatizo. Ukweli ndugu yangu nchi yetu hatukupaswa kuingia kwenye mfumo wa digital kwa ivi sasa, kwani miundo mbinu na hata hali za ki uchumi za wana nchi wengi wa tanzania ni ki kwazo kikubwa na ni mzigo mkubwa, leo hi huu mfumo una msumbua mtu wa dar je? Mtu wa katavi itakuake, kama si ku wanyima wana nchi haki zao za msingi za kupata habari. UN ilsema hadi 2015 japo sina uhakika asilimia mia, ila kwanini sisi tumewahi sana? Nasikia harufu ya 10% hapo.
Ni kweli mapenzi na shule hayafai.
Keep it up kijana.