Nisikatae huenda mna mfahamu, ila wasifu wake, ni binti mrembo kutoka Tanga, ana umri wa miaka 21, umbo na sura ni kama Jokate, anasoma chuo flani maswala ya uhandisi.. Ni shombe shombe flani ivi.
Mambo ni digital hata mlalamike
We soma tu sasa...ntaongea nae then aniunganishe na wewe nikusalimie...hope jumamosi ntakuwa Tanga.Mapenzi pasipo kuhalalishwa si haki na ni chukizo kwa Mungu, kwani nilipanga mwaka huu mwezi wa 10, kama ningekua na Maureen tungefunga ndoa. Ndipo ningeludi tena chuo kusoma
Kitendo cha kuzini ni sawa na kujitenga na ufalme wa Mungu
kwisha habari yako nadhani ndio huyo huyo....hebu rudia tena, shombe shombe!!
kutia mchuzi sio kuzini kaka...ni mambo ya udambwidambwi na umatemate!
We soma tu sasa...ntaongea nae then aniunganishe na wewe nikusalimie...hope jumamosi ntakuwa Tanga.
Watajipanga tu wao si wazee wa maisha bora kwa kila mtanzania sasa ndio hayo maisha
Sijajua km kaondoka aisee dah
Halafu kwenye mchuzi hakuna kunatana
Tena huyo ndio mzigo kabisaa yan jamaa hata amfume mkewe anagandana haulizi...lol